kombowa kigoma ujiji
Ndugu wana kigoma,tunatumai wote ni wazima na mnaendelea vizuri na shughuli za maisha za kila siku,malengo ya blog yetu ni kujaribu kusaidia maendeleo yetu ya mkoa wetu wa kigoma,kupitia MGOMBEA WETU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO Jimbo la Kigoma Mjini,kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kampeni tuweze kurudisha heshima ya Mji wetu tuliojiwekea kwa muda mrefu......shime tushirikiane wana kigoma
Saturday, November 20, 2010
HATIMAYE MHESHIMIWA SABRINA HAMZA SUNGURA KATANGWAZWA KUWA MBUNGE MTEULE CHADEMA VITI MAALUM
DUH,Jamni hongera sana watu wa Kigoma Ujiji,angalau mmepata mtu wa kumuelezea shida zenu za mambo ya ubunge kwa Jimbo la Kigoma Ujiji,thanks so much to Chadema,kilio chetu wana kigoma UJIJI kimesikiika! tunamtegemea kuwa na kura ya TURUFU kwenye kumchaguwa Meya wa Mji wa KIGOMA UJIJI ni Lazima sasa atatoka CHADEMA<shime bi Sabrina uwahi ucghaguzi kule KIGOMA.
Thursday, September 9, 2010
MATUKIO UFUNGUZI WA KAMPENI KIGOMA
Wapambanaji Kigoma MJINI kwa kweli tunasikia mambo yalikuwa mazuri sana Karibuni wote tupambane na mafisadi na Ufisadi KIGOMA
Friday, August 27, 2010
CHANGIA KATIKA KAMPENI
WAPENDWA MARAFIKI,
Nagombea ubunge jimbo la kigoma mjini ili kuwatumikia watu wa kigoma na watanzania kwa ujumla.
Katika kufanikisha yote haya nahitaji mchango wako wa hali na mali.
Ukiwa mpenda maendeleo ya kigoma na Tanzania ungana nami katika kupigania maendeleo kwa kutoa
mchango wako.
Kwa kuchangia tafadhali ingiza fedha kwenye akaunti yetu ya kampeni.
AKAUNTI YA CRDB:
JINA : Ally Mleh
Namba ya Akaunti: 01J2097483200
AKAUNTI YA NMB:
Namba ya Akaunti: 2061604326JINA : Ally Mleh.
AKAUNTI YA M-PESA : 0753 979641
Barua pepe: mlehsnr@gmail.com
“KIGOMA, TANZANIA YENYE NURU ITAJENGWA NASI”
Kama Nimesikia unagombea Ubunge VITI MAALUM Kigoma mjini,sio mwenye picha hii kweli? nijibiwe......
Ni Mlasi Hamza Sungura,mtoto wa Meya wa ZAMANI wa KIGOMA UJIJI Hamza K.Sungura.kama ni kweli kila la kheri kwenye Harakati zako hizo ndugu,hope wote malengo yetu ni mamoja kuitowa Kigoma where it is.....
Subscribe to:
Posts (Atom)